TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA (TAA) 05-03-2026

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA (TAA) 05-03-2026 AJIRA PORTAL

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 15/03/2026 hadi 15/04/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

Pakua PDF hapa.
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA (TAA) 05-03-2026
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom