Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili MDAs & LGAs 22-09-2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia ta r e h e 24/10/2025 hadi 24/10/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Pakua PDF hapo chini
Pakua PDF hapo chini
Maswali ya Usaili Clinical Officer TFS
2025 Interview PDF
Download PDF