Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili afya, walimu au ualimu na kada mbalimbali Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 13/12/2025 hadi 23/12/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Pakua pdf hapa
2.
3.
Pakua pdf hapa
2.
3.