HILI HAPA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MDAs NA LGAs 04-03-2025 AJIRA PORTAL.
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 17-03-2025 hadi 29-03-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Bonyeza hapo chini ku-download PDF.

Attachments