Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kwenye interview Tangazo la kuitwa kwenye usaili MDA's NA LGA's 12-03-2025 leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 20-03-2025 hadi 05-04-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Pakua PDF hapo chini.
Pakua PDF hapo chini.
Nafasi za Kazi FES Tanzania
Ajira Mpya 2025
Attachments