Orodha ya Majina ya walioitwa kwenye usaili/Interview leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapendakuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanziatarehe 20-03-2025 hadi 05-04-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usailihuo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Pakua PDF hapo chini.
Pakua PDF hapo chini.
Nafasi 23 za Ajira Mpya MUHAS
Nafasi za Kazi 2025
Attachments