Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili NFRA Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi kuwa Usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 01 Septemba, 2025 hadi 04 Septemba, 2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.