Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA), Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 14-04-2025 hadi 18-05-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Pakua PDF hapo chini hizo mbili
Pakua PDF hapo chini hizo mbili
Walioitwa kwenye Usaili TAA, MDAs & LGAs
Ajira Portal
Download PDF