Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili Taasisi mbalimbali Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi waMazingira Iringa (IRUWASA), Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania(TMA), Wizara ya Afya, Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA),, MDAs & LGAs anapenda kuwataarifuWaombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19-07-2025 hadi26-08-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwawanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.
Walioitwa kwenye Usaili Wizara ya Afya 13-07-2025
AJIRA PORTAL