Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili Taasisi mbalimbali za Umma 14-07-2025 ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Ardhi Morogoro(ARIMO), Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB), Taasisiya Utafiti wa Uvuvi (TAFIRI), Wakala wa Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA), Ofisi ya Taifa yaMashtaka (NPS), Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE), Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI),,Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu wa Elimu ya Juu (HESLB), Wizara ya Maji, Tume ya Madini(TMC), Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA), Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL), Waziriwa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), MDAs & LGAs, Wakala wa Elimu naMafunzo ya Uvuvi (FETA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usailiunatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 23-07-2025 hadi 12-08-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kaziwaombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatiamaelekezo yafuatayo:-
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.