TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 22-09-2025

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 22-09-2025 AJIRA PORTAL

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba yaChuo cha Bahari Dar esSalaam (DMI), Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Baraza la Mitihani laTanzania (NECTA), Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR), Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu(MPRU), Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), MDAs & LGAs, Mamlaka ya Majisafi na Usafiwa Mazingira Tabora (TUWASA), Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mamlaka yaUsimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Tume ya Nguvu za AtomuTanzania (TAEC), Chuo chaElimu ya Biashara (CBE), Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Tanzania Shipping AgenciesCorporation (TASAC), Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS), Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA), Chuo cha Mipango ya MaendeleoVijijini (IRDP) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwakuendeshwa kuanzia tarehe 26/09/2025 hadi 24/10/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kaziwaombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatiamaelekezo yafuatayo:-

Pakua PDF hapa.
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 22-09-2025
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom