Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Moyo ya JakayaKikwete (JKCI) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwakuendeshwa kuanzia tarehe 29-03-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofauluusaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Download PDF