Hili hapa Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili TAWA, eGa, TBA, ETDCO, TIC Utumishi na Ajira Portal.
Leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Usimamizi waWanyamapori (TAWA), Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGa), Wakala wa Majengo Tanzania (TBA),Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji Umeme (ETDCO),Watumishi Housing Investments, Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC) anapenda kuwataarifu WaombajiKazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 16-03-2025 hadi25-03-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwawanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Bonyeza hapo chini ku-download PDF

Attachments