TANGAZO LA MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO WA KADA AFISA MANUNUZI MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 31 JANUARI 2026 KATIKA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU (DUCE)

TANGAZO LA MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO WA KADA AFISA MANUNUZI MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 31 JANUARI 2026 KATIKA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU (DUCE) AIR TANZANIA

NECTA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025 SHULE ZOTE BONYEZA HAPA
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Kampuni ya Ndege Tanzania inapenda kuwataarifu wasailiwa wote waliofanya usaili wa mchujo tarehe 31 Januari, 2026 katika Kada ya Afisa Manunuzi Msaidizi (Procurement Assitant II) kuwa matokeo ya usaili yametoka na kwamba usaili wa pili utafanyika tarehe 3 Februari, 2026 Ofisi ya Kampuni ya Ndege Tanzania Makao Makuu (ATC House) – Posta, Dar es Salaam Tanzania kuanzia saa 8:00 mchana.

Pakua PDF hapa.
TANGAZO LA MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO WA KADA AFISA MANUNUZI MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 31 JANUARI 2026 KATIKA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU (DUCE)
 
Back
Top Bottom