TANGAZO LA MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO WA KADA MBALIMBALI ULIOFANYIKA TAREHE 31 JANUARI 2026 KATIKA CHUO CHA UDSM NA CHUO KIKUU CHA DUCE

TANGAZO LA MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO WA KADA MBALIMBALI ULIOFANYIKA TAREHE 31 JANUARI 2026 KATIKA CHUO CHA UDSM NA CHUO KIKUU CHA DUCE AIR TANZANIA

NECTA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025 SHULE ZOTE BONYEZA HAPA
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Kampuni ya Ndege Tanzania inapenda kuwataarifu wasailiwa wote waliofanya usaili wa mchujo tarehe 31 Januari, 2026 katika kada mbalimbali kuwa matokeo ya usaili yametoka na kwamba usaili wa vitendo na Mahojiano utafanyika kuanzia tarehe 3 Februari, 2026 hadi 6 Februari, 2026 Ofisi ya Kampuni ya Ndege Tanzania Makao Makuu (ATC House) – Posta, Dar es Salaam Tanzania kuanzia saa 2:00 asubuhi.

Pakua PDF hapa.
TANGAZO LA MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO WA KADA MBALIMBALI ULIOFANYIKA TAREHE 31 JANUARI 2026 KATIKA CHUO CHA UDSM NA CHUO KIKUU CHA DUCE
 
Back
Top Bottom