Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeundwa kwa mujibu wa Ibara ya 62 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977. Aidha, Ibara ya 88 (1) ya Katiba inaunda Sekretarieti ya Bunge yenye jukumu la kuliwezesha Bunge kutekeleza majukumu yake. Kwa msingi huo, Katibu wa Bunge anatangaza nafasi za kazi 28 za Kada mbalimbali ili kuimarisha utendaji. Watanzania wote wenye sifa na uwezo wanaalikwa kutuma maombi yao ili kujaza nafasi za kazi zilizo ainishwa hapa chini.
Pakua PDF hapo chini.
Pakua PDF hapo chini.
Download PDF