Global TV inatangaza nafasi za kazi kwa vipindi vya:
Burudani & Udaku (4 nafasi)
Masuala ya Kijamii (2 nafasi)
Sifa kuu:
Mkazi wa Dar es Salaam
Uwe tayari kufanya internship
Uwe na vyeti vya kitaaluma (ITHIBATI).
Mtu mwenye bidii, ubunifu na shauku
Mwisho wa kutuma maombi: 15 Septemba 2025
Wasilisha maombi yako Global TV, Mori Road, Sinza
0687 531 251
Burudani & Udaku (4 nafasi)
Masuala ya Kijamii (2 nafasi)
Sifa kuu:
Mkazi wa Dar es Salaam
Uwe tayari kufanya internship
Uwe na vyeti vya kitaaluma (ITHIBATI).
Mtu mwenye bidii, ubunifu na shauku
Mwisho wa kutuma maombi: 15 Septemba 2025
Wasilisha maombi yako Global TV, Mori Road, Sinza
0687 531 251