Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Rufiji anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi (04) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:-
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.