Hili hapa tangazo la nafasi za kazi kutoka Halmashauri Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Babati anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi (10) katika halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:-
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.