Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya ya Chemba 28-02-2026 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba anawatangazia watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi nane (08) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:-.
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.