Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi anawatangazia Watanzaniawenye sifa kuomba nafasi za kazi tano (05) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibalikutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwamchanganuo ufuatao:-
Pakua PDF hapa
Pakua PDF hapa