TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA 04-09-2025

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA 04-09-2025 AJIRA PORTAL

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Bunda anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi na Saba (17) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:-

Pakua PDF hapa.
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA 04-09-2025
 
Back
Top Bottom