Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita anawatangazia Watanzania wenye sifana nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita kuomba nafasi za kazizilizotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali kwa mwaka wa fedha 2023/2024,chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024, na kibali chenye Kumb.Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025 kwa mwaka wa fedha 2024/2025 pamojana kibali cha ajira mbadala chenye Kumb. Na. FA.228/613/01H/034 cha tarehe03/06/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishiwa Ummana Utawala Bora.
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.