TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA 15-07-2025

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA 15-07-2025 Ajira Portal

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita anawatangazia Watanzania wenye sifana nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita kuomba nafasi za kazizilizotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali kwa mwaka wa fedha 2023/2024,chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024, na kibali chenye Kumb.Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025 kwa mwaka wa fedha 2024/2025 pamojana kibali cha ajira mbadala chenye Kumb. Na. FA.228/613/01H/034 cha tarehe03/06/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishiwa Ummana Utawala Bora.

Pakua PDF hapa.
 
Back
Top Bottom