Hili hapa tangazo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Handeni anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi ishirini na nane (28) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:-
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.