TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI 19-11-2025

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI 19-11-2025 AJIRA PORTAL

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Ikungi anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi nane (8) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:-

Pakua PDF hapa
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI 19-11-2025
 
Jaman eee naomba kuliza mim nimeunga account ya zimamoto ila nimebadilisha email na password nimeisahau na Ile email pia nimeisahau je nifanyeje ili ni login
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom