TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI 22-05-2025 AJIRA PORTAL

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI 22-05-2025 AJIRA PORTAL UTUMISHI

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi ajira portal Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wililayaa ya Itigi amepokea kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kilichotoa idhini ya utekelezaji wa nafasi za Ajira Mpya katika ikama ya mwaka wa fedha 2024/2025 chenye Kumb. Na. FA. 97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili, 2025. Hivyo anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa kutuma maombi ya kazi katika nafasi zifuatazo.

Tuma maombi hapa.
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI 22-05-2025 AJIRA PORTAL
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom