Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko anawatagazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko kuomba nafasi za kazi zilizotajwa hapo chini, baada yya kupokea kibali kwa mwaka wa fedha 2023/2024, Chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/09 cha 25.06.2024, kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Raisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora.
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.