Hili hapa tangazo la nafasi za kazi kutoka Halmashauri Wilaya ya Kilindi anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi sita (06) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao.
Bonyeza hapa kupakua PDF.
Bonyeza hapa kupakua PDF.