Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Mafia anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi mbili (02) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:-
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.
NAFASI ZA KAZI ZA MKATABA WALIMU WA SECONDARY
MWALIMU DARAJA IIIB