Hili hapa tangazo lanafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi mbili (02) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao.
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.