Hili hapa tangazo la nafasi za kazi ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera,Bunge na Uratibu anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi nane (08) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili;-
Tuma maombi hapa.
Tuma maombi hapa.