TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP

TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP 17-05-2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la nafasi za kujitolea katika shule za msingi kwa kada ya elimu chini ta mradi wa GPE - TSP TAMISEMI leo

Mradi wa Kuboresha Kada ya Ualimu (Global Partnership for Education Teacher
Support Programme – GPE - TSP) kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali
za Mitaa (OR – TAMISEMI) inatekeleza afua mbalimbali ikiwemo ya kuratibu
upatikanaji wa Walimu wa Kujitolea (engagement of volunteer teachers). Mradi huu
unatangaza nafasi za kujitolea kwa walimu 694 wa Shule za Msingi watakaofanya
kazi chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa katika shule zenye uhitaji mkubwa zaidi
kwa kuzingatia utaratibu wa kupanga walimu wa Shule za Msingi ‘Primary Teacher
Allocation protocol (P – TAP)´ambao umeanishwa kwenye Andiko la Mradi huo wa
GPE – TSP.

Pakua PDF hapa
TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom