TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI KWA KADA YA ELIMU KUPITIA MRADI WA GPE - TSP

TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI KWA KADA YA ELIMU KUPITIA MRADI WA GPE - TSP TAMISEMI

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM –TAMISEMI) kupitia Mradi wa Kuboresha Kada ya Ualimu “Global Partnership for Education Teacher Support Programme(GPE – TSP)” inatekeleza afua mbalimbali ikiwemo kuratibu upatikanaji wa Walimu wa Kujitolea (engagement of volunteer teachers).

Pakua PDF hapo chini.
TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI KWA KADA YA ELIMU KUPITIA MRADI WA GPE - TSP
 

Download PDF

Back
Top Bottom