Klabu ya Young Africans SC imetangaza kumuingiza Adnan Behlulović katika idara ya fitness. Adnan, raia wa Bosnia na Herzegovina aliyezaliwa Januari 5, 1981, ataungana na Taibi Lagrouni katika kuhakikisha wachezaji wa Yanga wanakuwa fiti kila wakati.
Uongozi wa Yanga unaamini kuwa kuongezeka kwa wafanyakazi katika idara ya fitness kutaimarisha zaidi kikosi chao. Uwepo wa Adnan na Taibi unatarajiwa kuongeza kiwango cha mazoezi na kuhakikisha wachezaji wanakuwa katika hali nzuri ya mwili.
Adnan Behlulović ana uzoefu mkubwa katika uwanja wa mazoezi ya viungo. Kabla ya kujiunga na Yanga, amefanya kazi katika klabu mbalimbali ikiwemo:

- 2001-2005: St. Orion (Uholanzi)
- 2000-2001: Timu ya Taifa ya Bosnia na Herzegovina U19 na U21
- 1990-2001: FK Željezničar (Bosnia na Herzegovina)
- 2005-2007: HSC (Uholanzi)
- 2007-2011: SV Rossbach/V (Ujerumani)
- 2013-2015: SuS Stadtlohn (Ujerumani)
- 2015-2017: Westfalia Gemen (Ujerumani)