Timu ya Yanga SC yamuingiza Adnan Behlulović katika idara ya fitness

Habari za Michezo Timu ya Yanga SC yamuingiza Adnan Behlulović katika idara ya fitness

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,737
Klabu ya Young Africans SC imetangaza kumuingiza Adnan Behlulović katika idara ya fitness. Adnan, raia wa Bosnia na Herzegovina aliyezaliwa Januari 5, 1981, ataungana na Taibi Lagrouni katika kuhakikisha wachezaji wa Yanga wanakuwa fiti kila wakati.

Uongozi wa Yanga unaamini kuwa kuongezeka kwa wafanyakazi katika idara ya fitness kutaimarisha zaidi kikosi chao. Uwepo wa Adnan na Taibi unatarajiwa kuongeza kiwango cha mazoezi na kuhakikisha wachezaji wanakuwa katika hali nzuri ya mwili.
Timu ya Yanga SC yamuingiza Adnan Behlulović katika idara ya fitness

Adnan Behlulović ana uzoefu mkubwa katika uwanja wa mazoezi ya viungo. Kabla ya kujiunga na Yanga, amefanya kazi katika klabu mbalimbali ikiwemo:
  • 2001-2005: St. Orion (Uholanzi)
  • 2000-2001: Timu ya Taifa ya Bosnia na Herzegovina U19 na U21
  • 1990-2001: FK Željezničar (Bosnia na Herzegovina)
  • 2005-2007: HSC (Uholanzi)
  • 2007-2011: SV Rossbach/V (Ujerumani)
  • 2013-2015: SuS Stadtlohn (Ujerumani)
  • 2015-2017: Westfalia Gemen (Ujerumani)
 
Back
Top Bottom