Uchaguzi wa kidato cha tano na vyuo vya kati 2025

Uchaguzi wa kidato cha tano na vyuo vya kati 2025 Form five 2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Angalia hapa Uchaguzi wa kidato cha tano na vyuo vya kati 2025 kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne 2024 na waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2025 katika shule mbalimbali nchini Tanzania na wengine kujiunga.

Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tana na Vyuo vya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mwaka 2025, ni kutoka Shule· za Serikali, zisizo za Serikali, watahiniwa wa kujitegemea waliofanya mtihani wakiwa chini ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima na waliosoma nje ya nchi ambao matokeo yao yamefanyiwa ulinganifu wa Baraza la Mtihani Tanzania (NECTA).

Angalia selection hapa.

Angalia hapa vyuo
Uchaguzi wa kidato cha tano na vyuo vya kati 2025
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom