Hatua kwa hatua Udahili wa Vyuo NACTVET Jinsi ya kuhakiki NECTA Je! wewe ni mwanafunzi uliyedahiliwa katika vyuo vya kati kwa ngazi ya astashahada na stashahada?
Kama jibu ni ndiyo, Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linakusisitiza kuhakiki udahili wako kwa kufuata hatua zifuatazo;
Soma jinsi ya kuhakiki udahili NACTVET hapa.
1. Ingia kwenye tovuti ya NACTVET www.nactvet.go.tz
2. Bofya link iliyoandikwa "Student Information Verification".
3. Jaza taarifa zako kwa usahihi kadri mfumo utakavyokuielekeza.
4. Jiridhishe kuhusu chuo ulichosajiliwa na programu unayosoma.
5. Endapo kuna changamoto, tafadhali wasiliana na Afisa Udahili katika chuo chako.
6. Tembelea mara kwa mara mfumo huu kuhakiki taarifa zako ikiwa pamoja na matokeo ya kila muhula na endapo una changamoto kwenye hali ya matokeo yako, tafadhali wasiliana na Afisa mitihani wa chuo.
Kumbuka: Ukamilifu wa taarifa zako kwenye mfumo huu ndiyo utakuwezesha kupata Namba ya Utambuzi wa Tuzo (AVN) pamoja na Hati ya Matokeo (transcript) baada ya kuhitimu.

Jinsi ya Kuhakiki Udahili NACTVET 2025
Hatua kwa hatua Jinsi ya Kuhakiki Udahili NACTVET (Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Amali) ni taasisi inayosimamia ubora wa elimu ya ufundi na mafunzo ya amali nchini Tanzania.
makala360.com
1. Ingia kwenye tovuti ya NACTVET www.nactvet.go.tz
2. Bofya link iliyoandikwa "Student Information Verification".
3. Jaza taarifa zako kwa usahihi kadri mfumo utakavyokuielekeza.
4. Jiridhishe kuhusu chuo ulichosajiliwa na programu unayosoma.
5. Endapo kuna changamoto, tafadhali wasiliana na Afisa Udahili katika chuo chako.
6. Tembelea mara kwa mara mfumo huu kuhakiki taarifa zako ikiwa pamoja na matokeo ya kila muhula na endapo una changamoto kwenye hali ya matokeo yako, tafadhali wasiliana na Afisa mitihani wa chuo.
Kumbuka: Ukamilifu wa taarifa zako kwenye mfumo huu ndiyo utakuwezesha kupata Namba ya Utambuzi wa Tuzo (AVN) pamoja na Hati ya Matokeo (transcript) baada ya kuhitimu.
Jinsi ya Kuchagua Kozi Sahihi Chuo
2025-2026