Tanzania, Wananchi wote wanajulishwa kuwa programu ya ufadhili wa masomo nchini Uturuki kwa mwaka wa masomo 2025/2026 imefunguliwa kwa Watanzania wenye sifa. Ufadhili huu unajumuisha masomo ya Shahada ya Kwanza, Shahada ya Uzamili, Shahada ya Uzamivu (PhD), na tafiti mbalimbali. Wenye nia ya kuomba wanahimizwa kujitokeza na kutuma maombi yao.
Bonyeza hapa chini kutuma maombi
Bonyeza hapa chini kutuma maombi
Download PDF