Ufadhili wa Masomo Turkey scholarship program 2025/2026 Tanzania

Ufadhili wa Masomo Turkey scholarship program 2025/2026 Tanzania Wizara ya Elimu

Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa
Tanzania, Wananchi wote wanajulishwa kuwa programu ya ufadhili wa masomo nchini Uturuki kwa mwaka wa masomo 2025/2026 imefunguliwa kwa Watanzania wenye sifa. Ufadhili huu unajumuisha masomo ya Shahada ya Kwanza, Shahada ya Uzamili, Shahada ya Uzamivu (PhD), na tafiti mbalimbali. Wenye nia ya kuomba wanahimizwa kujitokeza na kutuma maombi yao.
Ufadhili wa Masomo Turkey scholarship program 20252026 Tanzania

Ufadhili wa Masomo Turkey scholarship program 20252026 Tanzania-1


Bonyeza hapa chini kutuma maombi
 

Download PDF

Similar content Most view View more
Back
Top Bottom