Tangazo hili la NECTA linaeleza kuwa kwenye matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne na Kidato cha Pili, neno “Referred” linamaanisha mwanafunzi hakufaulu upimaji huo, hivyo anatakiwa kurudia darasa au kidato husika ili kujiandaa kufanya upimaji tena.