Wananchi Forum, Hii hapa orodha kamili ya majina ya walioitwa kwenye Usaili Jeshi la Polisi Tanzania leo iliyotolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi anawatangazia vijana walioomba ajira ya Jeshi la Polisi kupitia mfumo wa Ajira (TANZANIA POLICE FORCE - RECRUITMENT PORTAL) kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 28-4-2025 saa 07:00 Asubuhi hadi tarehe 11-5-2025 kote nchini. Kama ulituma maombi basi ni muda sahihi.
Angalia hapa orodha ya majina polisi,
Angalia hapa orodha ya majina polisi,
Usaili Polisi Tanzania
23-04-2025
Nafasi za Kazi NBC Tanzania
23-04-2025