Wananchi, Hili hapa tangazo la Usaili Polisi Tanzania ambalo limetangazwa usiku sana kuamkia leo na Mkuu wa Jeshi la Polisi anawatangazia vijana walioomba ajira ya Jeshi la Polisi kupitia mfumo wa Ajira (TANZANIA POLICE FORCE - RECRUITMENT PORTAL) kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 28/4/2025 saa 07:00 Asubuhi hadi tarehe 11/5/2025 kote nchini kama ulituma maombi lakini.
Maelezo yote na majina yako hapa.
Kama utakuwa na swali lolote au huoni jina lako unashindwa kulitafta ebu acha ujumbe wako hapo chini kwa kuandika jina lako na sisi tutakusaidia kutafta.
Maelezo yote na majina yako hapa.
Kama utakuwa na swali lolote au huoni jina lako unashindwa kulitafta ebu acha ujumbe wako hapo chini kwa kuandika jina lako na sisi tutakusaidia kutafta.