Hivi hapa vituo vya usaili wa kuandika tarehe 24 Aprili 2025 kanda ya Arusha kutoka Ajira portal/Utumishi. Vituo hivi vya usaili vimepangwa kikanda, hivyo wasailiwa wote wanatakiwa kuzingatia vituo vya usaili kulingana na mpangilio huu. Vituo hivi ni kwa kada zinazofanya usaili tarehe 24 Aprili,2025 kama zilivyoorodheshwa.
Angalia hapa kisha tafta kada yako
www.ajira.go.tz
Angalia hapa kisha tafta kada yako
News Update :: Public Service Recruitment Secretariat
Public Service Recruitment Secretariat / Ofisi ya Raisi katika Utumishi wa Umma
