Hivi hapa vituo vua usaili wa mahojiano unaotarajiwa kuanza tarehe 15 hadi 23 Disemba 2025 Wasailiwa wote watakaofanya usaili wa mahojiano wanapaswa kuzingatia vituo vya usaili vilivyoainishwa kwenye kiambatisho hapo chini. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi vya kitaaluma,cheti cha kuzaliwa pamoja na kitambulisho.
Orodha/Majina ya walioitwa kwenye usaili Zimamoto Disemba 2025
ajira.zimamoto.go.tz