Hivi hapa Viwango Vya Mishahara Serikalini Utumishi MDAs & LGAs, TGOS, TGS, TGTS, TGHOS, kada za Afya, Kada za Walimu pamoja na taasisi mbalimbali nchini Tanzania.
Mshahara ni malipo ya fedha anayopokea mfanyakazi kutoka kwa mwajiri wake kwa kufanya kazi kwa muda maalum, kama vile mwezi, wiki, au siku. Malipo haya yanajumuisha fidia ya kazi anayofanya mfanyakazi, na yanaweza kujumuisha pia marupurupu, posho, au bonasi kulingana na sera za mwajiri. Kwa kawaida, mshahara hupangwa kwa kuzingatia vigezo kama vile aina ya kazi, kiwango cha elimu, uzoefu wa mfanyakazi, na masharti ya kisheria yanayohusiana na ajira.
Hata hivyo Serikali inaendelea kutekeleza Sera ya Malipo ya Mishahara na Motisha kwa Watumishi wa Umma, kama ilivyoainishwa katika Sera ya Utumishi wa Umma ya mwaka 2010. Katika jitihada za kufikia malengo ya sera hiyo, serikali imefanya marekebisho ya mishahara kwa watumishi kuanzia tarehe 1 Julai, 2022. Marekebisho hayo yameongeza viwango vya chini vya mishahara kwa asilimia 23.3, kutoka shilingi 300,000 hadi shilingi 370,000 kwa mwezi. Ngazi nyingine za mishahara pia zimeboreshwa kulingana na madaraja na vyeo tofauti.
Katika Mabadiliko haya yamechukua nafasi ya viwango vilivyotajwa kwenye Waraka wa Watumishi wa Serikali Na. 1 wa mwaka 2015. Aidha, mishahara kwa watumishi wenye elimu maalum, ujuzi na mafunzo, pamoja na kazi zinazohitaji ujuzi maalum katika muundo na maendeleo ya utumishi, imepangwa upya kwa kuzingatia vigezo vya maendeleo ya sekta husika.
Bonyeza hapa kudownload PDF ya viwango vya mishahara Kada ya Afya, Kada ya Walimu pamoja na Taasisi mbalimbali

Marekebisho ya Mishahara kwa Watumishi wa Serikali
Sasa kwa nini?. Marekebisho haya yanawahusu watumishi wa Serikali Kuu, Serikali za Mitaa, na wale wa taasisi za umma. Watumishi ambao waliacha kazi kabla ya tarehe 1 Julai, 2022, hawatahusika na marekebisho haya ya mishahara.Watumishi Wanaopata Mishahara Binafsi
Kwa watumishi wanaolipwa mishahara binafsi (Personal Salaries) ambayo iko chini ya viwango vya sasa vya serikali, serikali itazingatia marekebisho haya kulingana na viwango vipya vya mishahara ya utumishi wa umma.Bonyeza hapa kudownload PDF ya viwango vya mishahara Kada ya Afya, Kada ya Walimu pamoja na Taasisi mbalimbali