Hii hapa orodha ya majina ya Walimu walioitwa kwenye Mafunzo Somo la Elimu ya Biashara 2025 aasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa kushirikiana na Shirika la Educate! inatarajiakutoa mafunzo kwa walimu wa ajira mpya na kuripoti katika vituo vyao vya kazi mpakasasa wapatao 1,571 kufundisha Somo la Elimu ya Biashara, yaaniBusiness Studies kwashule za sekondari za serikali Tanzania Bara. Lengo kuu la mafunzo hayo ni kuwajengeawalimu uwezo wa kutumia mbinu mbalimbali za kufundishia Somo la Elimu ya Biasharakwa wanafunzi wa kidato cha I - IV. Mafunzo hayo yatafanyika kwa awamu tatu kuanziatarehe 27/05-11/06/2025 katika vituo tofauti kwa muda wa siku 3 kamainavyoonekana kwenye jedwali ambatishwa. Pia, mafunzo yatakuwa ni “residential”ambapo walimu watalala katika kituo husika cha Mafunzo ili kuwezesha ratibakutekelezwa kwa ufanisi. Aidha, mafunzo yatatanguliwa na uzinduzi maalumuutakaofanyika tarehe 27 Mei, 2025 katika chuo cha Ualimu Tabora kuanzia saa 2:00asubuhi. Walimu waliopangwa kuhudhuria mafunzo katika kituo hiki wanapaswa kushirikikatika uzinduzi huo katika tarehe tajwa.
Walimu watapatiwa posho maalumu ya shilingi 60,000/= kwa siku ambayo itakuwa kwa ajili ya kugharamia mahitaji yao ikiwemo malazi yao binafsi katika hosteli za chuo husika. Pia, serikali itatoa nauli na huduma ya chakula kwa walimu katika siku zote za mafunzo. Ratiba ya mafunzo itaanza saa 2:00 asubuhi na kuhitimishwa saa 12: 00 jioni katika siku zote za mafunzo. Pamoja na Barua hii, majina ya walimu yameambatishwa ili kuwawezesha wakurugenzi kurejelea majina ya walimu husika.
Pakua PDF hapo chini.

HESLB Kuongeza idadi wa Wanufaika Mkopo Elimu ya Juu
2025/2026 OLAMS-HESL
Waliochaguliwa JKT 2025
Kidato cha Sita
Download PDF