S

Waliochaguliwa Chuo cha IFM Selection 2025

Hii hapa orodha ya majina ya Waliochaguliwa kujiunga na Chuo cha IFM chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) kinapenda kuwajulisha wanafunzi wote waliopangiwa nafasi za masomo na ofisi ya Rais-TAMISEMI katika chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) katika matawi yake yote (Dar-es-Salaam Campus, Mwanza Campus, Dodoma Campus, na Simiyu Campus) kutembelea tovuti ya chuo: ems.ifm.ac.tz/application, ili kupata maelekezo namna ya kuthibitisha na namna ya kujiunga na chuo.

Soma zaidi.
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom