Hii hapa otodha ya majina ya Walioitwa kazini Namtumbo, TATC, Muheza, Nzega, Chemba, Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mzumbe, Mzumbe, MOI, NIDA, CFR, DART, ARU, TAEC. Leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14-06-2023 na tarehe 18-12-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Bonyeza hapa ku-download majina yote
Bonyeza hapa ku-download majina yote
Nafasi za kazi AzamPesa
Januari 2025
Nafasi za kazi Ecobank Tanzania
Januari 2025