Walioitwa kazini Tamisemi PDF

Walioitwa kazini Tamisemi PDF 23-07-2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Walioitwa kazini Tamisemi Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inapendakuwataarifu waombaji wote wa kazi za mkataba katika Programu ya Mpango waUwekezaji katika Afya ya Mama na Mtoto nchini Tanzania yaani Tanzania Maternaland Child Health Investment Program (TMCHIP) kwa nafasi mbalimbali za kada za afyawaliowasilisha maombi ya ajira katika kipindi cha mwezi wa Desemba, 2024 kuwamchakato wa kuwapangia vituo vya kazi umekamilika hivyo waombaji wotewaliochaguliwa wanatakiwa kuripoti katika Halmashauri walizopangiwa. Ajira hizi ni zamkataba wa miaka miwili.

Pakua PDF hapa.
Walioitwa kazini Tamisemi PDF
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom